Kila mtu afanye kazi sawa na elimu yake- JPM Rais John Magufuli Rais John Magufuli amewaasa watanzania kufanya kazi zinazoendana na elimu zao pasipo kufanya udanganyifu wa vyeti kwa kigezo cha kutaka kukidhi masharti yanayotolewa na waajiri. Read more about Kila mtu afanye kazi sawa na elimu yake- JPM