Joh Makini atoa somo hili kwa wasanii wenzake!
Rapa kutoka Weusi anayetamba kwa sasa na 'hit' song ya 'Waya', Joh Makini amefunguka na kuwataka wasanii kujitengeneza 'brand' ili kuweza kupata heshima ya kusaini mikataba minono ya makampuni mbalimbali ili kujiongezea kipato kizuri kupitia sanaa.