Yanga yamuacha Chirwa safari ya Algeria
Mabingwa wa Tanzania Bara Yanga SC kesho jioni wanatarajia kuondoka jijini Dar es salaam kuelekea nchini Algeria kupambana na MC Alger katika mchezo wa marudiano Kombe wa Shirikisho Afrika huku wakiwakosa wachezaji wake saba akiwemo Obrey Chirwa.