Wenger bado yupo yupo sana Arsenal

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger

Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amekubali mkataba mpya wa miaka miwili, unaomuongezea utawala wa miaka 21, kwenye klabu hiyo ya Emirates.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS