Urais wa Kenya 'kupiganiwa' na watu 8 Rais Uhuru Kenyatta (kushoto) Tume ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya, IEBC, imeidhinisha majina ya wagombea nane kuwania Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Agosti mwaka huu Read more about Urais wa Kenya 'kupiganiwa' na watu 8