AUDIO: Ommy afungukia 'ubize' wa mastaa

Ommy Dimpoz

Msanii Omary Nyembo 'Ommy Dimpoz' amefunguka na kuweka wazi kwamba mastaa wengi wanapenda kujipa u - bize wasiokuwa nao kwa sababu tayari wameshakuwa na majina makubwa mjini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS