Majaliwa amsimamisha kazi kigogo wa Pembejeo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi Msaidizi wa Pembejeo wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Shenal Nyoni ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili kwa kuongeza gharama za pembejeo kwa kushirikiana na baadhi ya mawakala.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS