Mwanamke anusurika kifo kwa kuchomwa kisu Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Siyajui Almasi mkazi wa kijiji cha Mahembe, Wilayani Kigoma amenusurika kufa baada ya mume wake aliyetambulika kwa jina la Maguru Shabani kumchoma kisu shingoni. Read more about Mwanamke anusurika kifo kwa kuchomwa kisu