Amber Lulu sasa kutoa ajira rasmi

Msanii Amber Lulu

Msanii wa bongo fleva mwenye 'hit song' ya 'Watakoma' Amber Lulu amefunguka kwa kusema sasa hivi hatajishughulisha tena na masuala ya 'video queen' na badala yake atafungua kufungua kampuni yake ya 'video vixen' hivi karibuni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS