Nape awaponda wabunge wanaosifia kila kitu Nape Nnauye Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amefunguka na kusema wabunge wa Chama Cha Mapinduzi ambao wanaishauri na kuikosoa serikali ni watu ambao wana mapenzi mema na Rais na serikali yake kuliko wanao sifia kila kitu. Read more about Nape awaponda wabunge wanaosifia kila kitu