Bonge la Nyau aanika mahusiano yake na Shilole

Shilole (Kushoto) na Bonge la Nyau

Msanii wa bongo fleva Bonge La Nyau amesema hana mahusiano ya kimapenzi na Shilole japo watu wamekuwa wakiwaona karibu kiasi cha kuzusha kwamba wawili hao ni wapenzi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS