Bodaboda zaua watu 1,945 kwa miaka miwili

Moja ya ajali za bodaboda

Jumla Watu 1,945 wamefariki dunia katika ajali za bodaboda 5,418 tangu mwaka 2015 hadi Februari mwaka 2017 hivyo serikali imeanzisha mikakati kabambe ya kupunguza ajali hizo ambazo zinapoteza nguvu kazi ya taifa licha ya kutoa ajira nyingi kwa vijana

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS