Hakuna kama Alikiba - Wolper Msanii Alikiba Kushoto, kulia ni Muigizaji Wolper Malkia wa filamu bongo, Jacqueline Wolper amefunguka na kukiri kwamba alishawahi kutoka kimapenzi na msanii Alikiba huku akidai ndiyo mahusiano pekee yaliweza kudumu kwa muda mrefu na namba moja kwa uzuri mpaka sasa. Read more about Hakuna kama Alikiba - Wolper