VIDEO: "Mwanaume mashine"- Msaga Sumu

Mfalme wa kisingeli Tanzania, Msaga Sumu amefunguka kwa kusema wimbo wake mpya wa ‘mwanaume mashine’ si fumbo lenye matusi kama baadhi ya watu wanavyodhani bali alimaanisha mwanaume mchapakazi na mtafutaji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS