Audio: Simba na Yanga kuwania milion 60
Timu za Simba na Yanga zinatarajia kuwania shilingi milioni 60 za michuano mipya SportPesa Super Cup inayotarajiwa kutimua vumbi kuanzia Juni 5 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kushirikisha jumla ya timu 8 kutoka Tanzania na Kenya

