Mesen ananitumia kutafuta kiki - Man Fongo
Mfalme wa singeli nchini, Man Fongo amemchana Producer Mesen Selekta kwa kumwambia anatafuta 'kiki' kupitia mgongo wake kwa kuzungumzia masuala ya zamani yaliyotokea kipindi anamilikiwa na uongozi wa Gmaker.