Prof. Muhongo atumbuliwa rasmi Prof. Sospeter Muhongo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo kuanzia leo tarehe 24 Mei, 2017. Read more about Prof. Muhongo atumbuliwa rasmi