VIDEO:Chin Bees agoma kutumika bure
Msanii Chin Bees kutoka ‘Wanene entertainment’ mwenye hit song ya 'Nyonga nyonga’ amefunguka kwa kusema hatowaandikia tena wasanii wenzake nyimbo kwa madai hawaeshimu kazi yake anayoifanya japokuwa wanafanikiwa kupitia kipaji chake cha utunzi.

