AWATA yashindwa kutoa vifaa bandarini Chama cha Mieleka nchini AWATA kimeshindwa kutoa kiasi cha shilingi milioni 15 ili kuweza kugomboa vifaa vya michezo vilivyokwama bandarini jijini Dar es Salaam. Read more about AWATA yashindwa kutoa vifaa bandarini