TFF yazuia mmiliki mmoja kuwa na timu mbili Klabu za Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara zimetakiwa kuanzia msimu ujao ziwe na ofisi, uwanja wa mazoezi, kuendeleza programu za vijana ikiwa ni pamoja na kuwapa haki ya kusoma. Read more about TFF yazuia mmiliki mmoja kuwa na timu mbili