CUF waitaka serikali kudhibiti vitendo vya kinyama
Chama cha wananchi CUF nchini Tanzania kimeitaka serikali kupitia jeshi la polisi kuhakikisha wanadhibiti vitendo vya kinyama visiendelee kutokea ikiwemo vya mauji ya wananchi wasio na hatia kama vilivyotokea mkoani Tanga hivi karibuni.

