Rais Magufuli atembelea kanisa la Mzee wa Upako Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo amelitembelea kanisa la maombezi linaloongozwa na Anthon Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako eneo la Ubungo Jijini Dar es salaam. Read more about Rais Magufuli atembelea kanisa la Mzee wa Upako