Novak Djokovic atwaa taji la French Open Novak Djokovic ameshinda taji la wazi la Ufaransa baada ya kumchapa Andy Murray kwa seti 3-6 6-1 6-2 6-4 kwenye viwanja vya Roland Garros. Read more about Novak Djokovic atwaa taji la French Open