Rais wa Madagascar avunja Bunge Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amelivunja Bunge la nchi hiyo saa chache kabla ya upinzani kuwasilisha mswada wa kumjadili kwa kuacha wadhifa wake. Read more about Rais wa Madagascar avunja Bunge