Trump na Zelenskiy kukutana Ijumaa Rais Donald Trump amethibitisha kuwa atamkaribisha Volodymyr Zelenskiy White House Ijumaa hii kujadili msaada wa kijeshi na makombora ya Tomahawk, huku Urusi ikionya kuwa hatua hiyo ni uchokozi mkubwa dhidi yake. Read more about Trump na Zelenskiy kukutana Ijumaa