TLS yalaani kukamatwa kwa Wakili Dastan Mujaki Kufuatia kukamatwa kwa Wakili Dastan Mujaki (Roll No. 8016), Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimepinga na kulaani vikali tukio hilo kwani lilikuwa kinyume na taratibu za kisheria. Read more about TLS yalaani kukamatwa kwa Wakili Dastan Mujaki