Fainali ya EUROPA Leagua kuamuliwa na Felix Zwayer
Mwamuzi wa Ujerumani Felix Zwayer, ambaye aliwahi kufungiwa kwa madai ya kuhusika katika njama ya kupanga matokeo atachezesha mchezo wa fainali ya Ligi ya Europa kati ya Tottenham na Manchester United wiki ijayo.