Kiongozi mkuu wa Iran afariki dunia
Kufuatia mfululizo wa majibizano ya mashambulizi kati ya mataifa ya Marekani na Israel dhidi ya Iran na Iran nayo kujibu, ripoti mbalimbali kutoka vyombo vya habari vya ndani vya Iran vimeripoti kifo cha kiongozi wa taifa hilo Ali Hosseini Khamenei.

