Tume ya Uchunguzi vurugu za uchaguzi yawasili Mara

Wajumbe wa Tume ya Rais ya uchunguzi wa matukio ya vurugu yaliyofanyika wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29 Mwaka jana imefika Mkoani Mara kwa lengo la kukusanya maoni kutoka kwa wananchi kuhusiana na matukio yaliyotokea ikiwemo vifo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS