Nikiingia Kaburini nipigie Dar es Salaam Stand up

Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group Joseph Kusaga ameweka wazi mahaba yake mazito kwa kazi ya mkongwe wa Hip Hop nchini Chidi Benz mpaka kufikia hatua ya kumuomba msanii huyo amuimbie moja wa Wimbo wake akiwa Kaburini kabla ya kupumzishwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS