Baba wa Yemi Alade kuzikwa mwezi Mei

Msanii wa muziki wa nchini Nigeria Yemi Alade

Msanii wa muziki Yemi Alade wa nchini Nigeria, ametangaza tarehe 7 mwezi Mei mwaka huu kuwa ndiyo siku ambayo marehemu baba yake, Kamishna Mstaafu J.A. Alade aliyefariki dunia tarehe 16 mwezi Januari atazikwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS