DARUSO yailaumu serikali juu ya mauaji ya Albino

Serikali ya wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) imesema kitendo cha serikali kutochukua hatua madhubuti za kukabiliana na vitendo vya mauaji ya watu wenye albinism kinachangia kuongezeka vya mauaji ya watu hao nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS