Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Lowassa amuomba Rais Magufuli

Monday , 12th Feb , 2018

Waziri Mkuu mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Mhe. Edward Lowassa amefunguka na kuiomba serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais John Magufuli kusikiliza maoni ya wananchi wanayotoa katika mambo mbalimbali na kuyachukulia hatua stahiki

Lowassa ametoa kauli hiyo wakati alipokuwa akimuombea ridhaa mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni Salum Mwalimu ili aweze kupata kura za ndio kwa wananchi hao siku ya kupiga kura ambapo yeye alikuwa mgeni rasmi katika ghafla hiyo, huku akisindikizwa na mameya na Wabunge mbalimbali kutoka UKAWA.

"Ningependa kuchukua nafasi hii kuiomba serikali isikilize maoni ya wananchi. Serikali yeyote duniani huongozwa na 'public opinion', kwamba wanasema nini wananchi, haiwezekani wananchi wakawa wanasema halafu hakuna hatua yeyote kwa serikali. Tunaiomba isikilize maoni ya wananchi", amesema Lowassa.

Kwa upande mwingine, Edward Lowassa amelishukuru Baraza la Maaskofu Tanzania kwa kuweza kuwaunga mkono upinzani na wapenda mabadiliko katika kutetea haki za wanyonge katika nchi.

HABARI ZAIDI

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton