Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Meneja hoteli akamatwa

Wednesday , 18th Oct , 2017

Jeshi la polisi Kanda maalum limemkamata meneja hoteli wa Peackock ya Dar es salaam, kwa kutoa ukumbi na kuruhusu watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja kufanyia mkutano, kitendo ambacho ni kinyume na sheria.

Kamanda Mambosasa ameyasema hayo leo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari, na kusema kwamba serikali hairuhuhusu kuwepo kwa vitendo hivyo, na mtu yeyote atakayehusika kuhamasisha atachukuliwa hatua za kisheria.

Sambamba na meneja hoteli huyo ambaye hakutajwa jina lake, Kamanda Mambosasa amesema watu wengine 12 wamekamtwa kufuatia tukio hilo, wakiwemo raia wa kigeni wa Afrika Kusini

“Tumekamata wahalifu wengine pale Peacock ambao wanahamasisha ushoga hapa nchini, niendelee kutoa onyo kwamba kosa hilo kwetu ni kinyume na sheria, kwanza meneja wa hoteli tumemkamata kwa sababu alikuwa anajua ndio maana akatoa ukumbi, lakini pia wahusika warudi kwao wakaendelee huko kama sheria zao zinaruhusu, lakini kwa hapa nchini na kanda maalum ninasema ni marufuku na yeyote atakayepokea, kuhifadhi na kuwezesha kitendo hicho hatutamuacha”, amesema Kamanda Mambosasa.

Watu hao waliokamatwa ni pamoja na raia wawili wa Afrika Kusini, Mganda mmoja na Watanzania 9, na watafikishwa mbele ya sheria hivi karibuni.

HABARI ZAIDI

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Wanahabari wasisitizwa kuzingatia maadili ya kazi

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC atangaza msako kuwaondoa walinzi wazee kazini