Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mtoto wa miaka 4 auwawa kikatili Tabora

Monday , 24th Sep , 2018

Mtoto Aisha Husseni mwenye umri wa miaka minne amekutwa ameuwawa kikatili na kisha mwili wake kuchomwa moto kwenye mfuko wa sandarusi na watu wasiojulikana katika Mtaa wa Sukuma Kata ya Mbugani Manispaa ya Tabora.

RPC Tabora Emmanuel Nley

Tukio hilo la kusikitisha limebainika leo wakati familia ya mtoto huyo wakimtafuta kwa siku mbili bila mafanikio.

“Huyu mtoto kapotea toka saa nane tukamtafuta tukamkosa, tukatoa taarifa msikitini hadi polisi na ndipo nilipopigiwa simu kuwa mtoto amefariki na ndipo tulipofika” amesema Hussen Maulid Baba wa Mtoto.

Baadhi ya viongozi wa serikali ya Kata wameeleza walivyopata taarifa hiyo pamoja na kulaani kitendo hicho.

“Niliwahoji wakasema kwao kulikuwa na sherehe baada ya sherehe watoto walitakiwa kutoka lakini yeye akapotea katika mazingira ya kutatanisha “ameeleza Abdalah Salum Mwenyekiti Mtaa wa Sukuma.

Salum ameongeza kuwa mtoto huyo amechomwa katika maeneo ya sehemu za siri pamoja na kutelekezwa. Kamanda wa polisi mkoani humo, Kamishna Msaidizi wa Polisi Emmanuel Nley, amethibitisha kupokea taarifa za matukio mbalimbali na kesho atatolea ufafanuzi kesho.

HABARI ZAIDI

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton