Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mwigulu amuunga mkono Gambo

Wednesday , 18th Oct , 2017

Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. Mwigulu Nchemba ameipongeza kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Arusha chini ya mwenyekiti  Mrisho Gambo ambaye ni mkuu wa mkoa kwa kuendelea kufanikisha ujenzi wa nyumba za Askari.

Waziri Mwigulu ametoa pongezi hizo baada ya kutembelea na kujionea ujenzi wa nyumba za askari ambazo ziliungua kwa moto mwezi Septemba na kuacha familia za askari zaidi ya 13 zikiwa bila makazi pamoja na vitu vya ndani.

Pamoja na shukrani hizo lakini Mwigulu amesema kuwa suala la makazi bora kwa askari ni kipaumbelele cha serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli hivyo wataendelea kuboresha makazi yao kadri inavyowezekana.

Ujenzi wa nyumba hizo ulianza Oktoba 2 mwaka huu ambapo jumla ya nyumba 29 za askari katika kambi iliyoathirika na moto zinajengwa. Wakati huo nyumba Saba zinajengwa  kwenye kituo kidogo cha Polisi Morombo kata ya Murieti na zipo katika hatua ya msingi.

Rais Magufuli aliguswa na tukio hilo na kutoa pole pamoja na mchango wake kama serikali ili kuwezesha ujenzi wa nyumba mpya. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha RPC Charles Mkumbo ameendelea kuwashukuru wadau kwa kujitolea na kuwaomba kuendelea kushirikiana na jeshi la Polisi kuboresha makazi ya Askari hali ambayo itaongeza morali ya kazi.

HABARI ZAIDI

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Aonya wanaochangia watumishi kutopanda madaraja

Edgar Lungu, Rais wa Zamani Nchini Zambia Akitembea Kuzunguka Mji Mkuu wa Lusaka

Rais wa zamani Zambia Bw. Lungu hatarini kukamatwa

Mkuu wa Ulinzi Ukraine (Picha ya Website)

Zelensky amfukuza kazi mkuu wake wa ulinzi

Baadhi ya Wananchi wa Chindi na Ntinga wakiwa katika Harakati za Kuvuka Mto

Walazimika kulipa hadi 8000 kuvuka mto kwa mtumbwi

Mohamedi Mchengerwa, Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

Wanaozuia watumishi kupanda vyeo wakaliwa kooni

Bujukano Mahungu John, Mwenyekiti wa Umoja wa Waganga na Wakunga wa Tiba Asili Tanzania

Waganga wa jadi waungana kukemea ukatili, Geita