Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Ni marufuku kuchimba kisima kwako

Thursday , 22nd Nov , 2018

Pamoja na umuhimu wa maji kwa afya ya binadmu lakini huduma hiyo hairuhusiwi kupatika kupitia kwa mtu kuchimba tu kisima bila kuhusisha mamlaka husika kwaajili ya kupewa maelekezo juu ya eneo sahihi la kuchimba kisima.

Kisima

Hayo yameelezwa na Mwanasheria wa Bonde la Mto Ruvu/Wami,  Bi. Monica Shiwu kwenye MJADALA wa East Africa Television leo Novemba 22, 2018, ambaye amesema kuwa kwa upande wa kanda ya Dar es salaam ili mtu amiliki kisima cha maji ni lazima afike ofisi za Maji Ubungo ili apate usajili pamoja na kupewa mtalaam atakayesimamia zoezi hilo.

''Ni kosa kwa mtu tu kuchimba kisima kiholela ni lazima azione mamlaka aweze kulipia na kupata mtalaam ambaye atamwelekeza ni wapi eneo zuri la kuchimba kisima hususani kwenye maeneo ya makazi ambayo yana shughuli nyingi za binadamu'', amesema.

Aidha amesema kuwa kwa Kisima cha matumizi ya nyumbani mmiliki anatakiwa kulipia shilingi elfu 60,000/= na kwa matumizi ya viwandani ni shilingi laki mbili na hamsini 250,000/=.

Bi. Monica amesisitiza kuwa ni muhimu kwa wananchi kufuata utaratibu huo kwani inasaidia kuondoa magonjwa mbalimbali yatokanayo na wananchi kuchimba kwa mazoea ambapo wengi hujikuta visima vinakuwa hata kwenye mikondo ya vyoo.
 

HABARI ZAIDI

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Aonya wanaochangia watumishi kutopanda madaraja

Edgar Lungu, Rais wa Zamani Nchini Zambia Akitembea Kuzunguka Mji Mkuu wa Lusaka

Rais wa zamani Zambia Bw. Lungu hatarini kukamatwa

Mkuu wa Ulinzi Ukraine (Picha ya Website)

Zelensky amfukuza kazi mkuu wake wa ulinzi

Baadhi ya Wananchi wa Chindi na Ntinga wakiwa katika Harakati za Kuvuka Mto

Walazimika kulipa hadi 8000 kuvuka mto kwa mtumbwi

Mohamedi Mchengerwa, Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

Wanaozuia watumishi kupanda vyeo wakaliwa kooni