Sunday , 9th Oct , 2016

Kipa mkongwe nchini Ivo Mapunda, ambaye anasubiri kwenda kucheza soka nchini Kenya, amesema kwa sasa hana kabisa mawazo ya kustaafu soka.

Ivo Mapunda

Ivo ametanabaisha kuwa bado ana nguvu hivyo kustaafu soka kwa sasa atakuwa hajakitendea haki kipaji chake.

“Kwa wale wanaotaka kujua nitastaafu lini, niwaambie tu wasubiri siku wakimuona Mugabe anaachia madaraka ndiyo na mimi nitaacha kucheza soka.”