Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Yanga mlikosea kumuita huyu- Manara

Monday , 18th Sep , 2017

Afisa habari wa klabu ya Simba Haji Manara amefunguka na kudai hakuna kama mchezaji Emmanuel Okwi Afrika Mashariki nzima kwa sasa, japo timu ya Yanga iliwacheka kipindi wanamsajili na kumuita jina la muhenga.

Afisa Habari wa Klabu ya Simba Haji Manara.

Manara ameeleza hayo kupitia ukurasa wake wa instagram baada ya mshambuliaji Emmanuel Okwi wa Simba kuanza vizuri katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kuifungia mabao sita mpaka sasa timu yake,katika mechi mbili na kuweza kuzima maneno ya wapinzani wao waliyokuwa wanamuita muhenga kipindi alipokuwa akisajiliwa kwa madai kiwango chake kimeshakwisha katika kulisakata kabumbu.

"East Afrika ina Okwi mmoja tu, 'game' mbili goli sita mara mbili ya magoli yote ya Gongowazi kwa michezo yao mitatu. Kosa lao lilikuwa kumwita mhenga, atashinda kila tuzo nchi hii, 'this is Simba and that is Okwinho", ameandika Manara.

Kwa upande mwingine, klabu ya Simba inatarajiwa kushuka katika dimba la CCM Kirumba Mkoani Mwanza Septemba 21 mwaka huu dhidi ya Mbao FC katika mchezo wa mzunguko wa nne wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

HABARI ZAIDI

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Wanahabari wasisitizwa kuzingatia maadili ya kazi

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC atangaza msako kuwaondoa walinzi wazee kazini