
Mnadhimu Mkuu Wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania-JWTZ,Luteni Jenerali Mathew Mkingule (Upande wa kushoto) akimkabidhi zawadi mshindi wa jumla Nsajingwa Mwansasu (Upande wa kulia) Kwenye Hafla ya kufunga Shindano la kumuenzi aliyekuwa Mwenyekiti Wa klabu ya Lugalo Gofu Marehemu Brig.Jenerali Mstaafu Ernest John Galinoma "Galinoma Memorial Tournament" Lililofanyika Kwenye Klabu hiyo Dar es salaam.

Meya wa Jiji la Arusha Maximilian Iranghe, akizungumza kabla ya kufungwa kwa kongamano la wiki ya ununuzi wa umma, iliyohusisha wadau wa ununuzi wa umma na Ugavi nchini, jijini Arusha.

Jacky alikuwa na ndoto ya kuvunja rekodi ya Guinness.

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza na Washirika wa Maendeleo wakiwemo Mabalozi wakati wa mkutano wa majadiliano ya uchangiaji wa bajeti ya zoezi la sensa linalotarajiwa kufanyika tarehe 23 Agosti 2022, katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally

Picha ya Wema Sepetu na Spiderman wa Bongo