
Kocha mkuu wa KMC Jackson Mayanga.
Akiongea baada ya mazoezi ya leo jioni, Mayanja amesema licha ya kuwa na majeruhi ni lazima aendelee kuandaa wachezaji waliopo.
Lakini pia ameeleza kuwa, wachezaji wake wanaelewa anachokitaka, hivyo ana matumaini watafanya vizuri.
"Wachezji wanaelewa ninachokitaka, timu bado inamajeruhi wengi na nawaamini hawa waliopo watafanya kazi nzuri zaidi na kupata pointi michezo inayofuata", ameeleza Mayanja.