Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Namba alizotoa Ben Pol kwa wasanii ni noma

Monday , 18th Nov , 2019

Mkali wa muziki wa RnB nchini Tanzania Benard Paul "Ben Pol" ameanzisha mjadala kwa kuweka orodha ya wasanii wake 15 bora wa muda wote kwa kipindi cha miaka 10 hadi 20 mpaka kufikia sasa.

Msanii Ben Pol

Ben Pol ameweka orodha hiyo ikiwa na majina ya mastaa wa muziki wa BongoFleva kama 1. Ngwair  2. Lady Jay Dee 3. Proffesor J  4. Dully Sykes 5. Juma Nature 6. AY  7. Fid Q  8. Mwana Fa  9. Joh Makini  10. Ben Pol 11. Diamond  12. Mr Blue  13. Ali Kiba  14. Gnako na 15. Nikki Mbishi.

Baada ya kupost hivyo baadhi ya wasanii kama Lady Jay Dee na AY wali-comment kwa kushukuru kuwekwa katika orodha hiyo ya wasanii bora wa Ben Pol.

Ila hali imekuwa tofauti kwa mashabiki ambao wengine walitoa maoni yao kwa kuandika ni sawa wengine walisema haipo sawa ila kwa upande wa msanii wa HipHop Wakazi yeye aliandika kuwa

"Umebeba list nzuri, ingawa naona kama ungeandika 20 badala ya 15,  kwa sababu kutoweka watu kama Chid Benz, Jay Moe, TID, Sugu, na Inspekta Haroun haijakaa sawa, ila nakubaliana na orodha hiyo" ameandika Wakazi.

 

HABARI ZAIDI

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Aonya wanaochangia watumishi kutopanda madaraja

Edgar Lungu, Rais wa Zamani Nchini Zambia Akitembea Kuzunguka Mji Mkuu wa Lusaka

Rais wa zamani Zambia Bw. Lungu hatarini kukamatwa

Mkuu wa Ulinzi Ukraine (Picha ya Website)

Zelensky amfukuza kazi mkuu wake wa ulinzi

Baadhi ya Wananchi wa Chindi na Ntinga wakiwa katika Harakati za Kuvuka Mto

Walazimika kulipa hadi 8000 kuvuka mto kwa mtumbwi

Mohamedi Mchengerwa, Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

Wanaozuia watumishi kupanda vyeo wakaliwa kooni