Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Uelewa mdogo uwekezaji wa hisa kikwazo uchumi

Wednesday , 2nd Sep , 2020

Suala la Biashara ya uwekezaji na ununuzi wa hisa katika makampuni mbalimbali Bado limeoneka kuwa changamoto kubwa miongoni mwa jamii hali inayopelekea wengi kutojihusisha na biashara hiyo.

Hii leo Eatv  imepita katika mitaa mbali mbali ya jiji kuzungumza na makundi mbalimbali ya watu wakiwemo watumishi pamoja na wajasiriamali kujua kwa namna gani jamii inauelewa juu ya masuala ya hisa ambapo wengi kati yao wameelezea suala la elimu ni  changamoto kubwa.

"Mimi nachokifahamu ni zile hisa ambazo huwa tunaziinunua kwenye vikundi vya vikoba huku mitaani kwetu zinatusaidia Sana lakini hizi hisa nyingine bado sijajua nazipataje na ntapataje faida" Consolata Mgata"-Mkazi wa Kipawa.

Aidha baadhi ya kina mama wamesema wao wamekuwa wakitumia ununuzi wa hisa jamii  katika baadhi ya vikundi vyao mitaani na vimekuwa vikiwasaidia  Eatv ikaenda mbali zaidi kwa kuzungumza na mmoja ya mama Bi Stella Katenga. ambaye amestaafu kwa sasa akielezea uthubutu aliiwahi kufanya katika uwekezaji wa hisa.

" Kiukweli ndugu mwandishi mimi niliwahi kununua hisa kwa kampuni Moja hivi hapa mjini nashukuru mungu kwa Sasa Kuna gawio napata kipindi hiki nikuwa nimestaafu labda niseme tuu jamii inapaswa kubadili fikra sio mpaka wote tufanye biashara za kuuza Nyanya".alisema bi Stella  Katenga -Muuguzi Mstaafu Hospitali ya Muhimbili.

Kwa Sasa serikali imekuwa ikiwawezesha wanawake vijana na watu wenye ulemavu Ambapo elimu hii ya uwekezaji katika hisa bado elimu hii imeombwa kutolewa ili kwa wasioweza kufanya biashara wawekeze fedha ili kupata faida za mwishoni mwa mwaka.

HABARI ZAIDI

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Aonya wanaochangia watumishi kutopanda madaraja

Edgar Lungu, Rais wa Zamani Nchini Zambia Akitembea Kuzunguka Mji Mkuu wa Lusaka

Rais wa zamani Zambia Bw. Lungu hatarini kukamatwa

Mkuu wa Ulinzi Ukraine (Picha ya Website)

Zelensky amfukuza kazi mkuu wake wa ulinzi

Baadhi ya Wananchi wa Chindi na Ntinga wakiwa katika Harakati za Kuvuka Mto

Walazimika kulipa hadi 8000 kuvuka mto kwa mtumbwi

Mohamedi Mchengerwa, Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

Wanaozuia watumishi kupanda vyeo wakaliwa kooni

Bujukano Mahungu John, Mwenyekiti wa Umoja wa Waganga na Wakunga wa Tiba Asili Tanzania

Waganga wa jadi waungana kukemea ukatili, Geita