Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Chanzo cha vijana kuchelewa kuingia kwenye ndoa

Tuesday , 3rd Nov , 2020

Wakati vijana wengine wakioa na kuolewa kumekuwepo na wimbi la vijana wengi ambao wamejawa na hofu, woga juu ya suala zima la ndoa huku moja wapo ya sababu ya hali hiyo ikitajwa kuwa kukithiri kwa matukio ya ukatili miongoni mwa wanandoa.

East Africa Digital imeongea na Mwanasosholojia, Rajabu Mpilipili, kutoka TAYA ambapo amesema matukio ya ukatili baina ya wanandoa yamepelekea vijana wengi kuona ndoa kama kitanzi na kuathiri afya ya akili .

“Vijana wanaathirika kwa namna mbalimbali wengine wanafika hatua hawaoni thamani ya ndoa kwasababu anaona kama kwenye ndoa ukatili unakuwa wa namna hii wa watu kumwagiana maji ya moto, kupigwa,kwa hiyo wanaona bora wabaki kwenye mahusiano ya kawaida" amesema Mpilipili

Aidha Mpilipili ameongeza kuwa athari hii haishii kwenye kuona ndoa kama kitanzi bali huathiri afya ya kaili ya vijana kwa kuwasababishia msongo wa mawazo.

“Afya ya akili inakuwa ina matatizo mmoja kwa mmoja wanajikuta wanakuwa na msongo wa mawazo, wana maswali mengi akilini mwao kuhusina mifumo hii na wanakuwa wanashindwa namna gani waweze kuyajibu kwani pale ambapo ungetegemea kupata majibu sahihi kwa wahusika lakini wahusika haohao ndio wanaokithirisha hivyo vitendo” amesema Mpilipili

HABARI ZAIDI

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Wanahabari wasisitizwa kuzingatia maadili ya kazi

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC atangaza msako kuwaondoa walinzi wazee kazini