
Amber Rutty na mumewe upande wa kulia, kushoto ni Gigy Money
Gigy Money ameongea hilo baada ya kwenda Live kupitia ukurasa wake wa mtandao huo ambapo amesema kuwa
"Nimem-miss Amber Rutty hivi ndiyo atolewi tena, miaka mitano jamani tuchangeni Instagram tucheke tukichanga bukubuku tunamtoa Amber Rutty atakuwa ameshajifunza jamani, tuchangeni tuwatoe wale"
Siku ya Ijumaa Septemba 25, 2020 Amber Rutty pamoja na mumewe Saidi Bakary wamelikumiwa kifungo cha miaka 5 gerezani kwa makosa manne ikiwemo kufanya mapenzi kinyume na maumbile.