Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Rais wa Msumbiji aeleza alivyoona dhahabu Chato

Monday , 11th Jan , 2021

Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi, amesema kuwa leo mara baada ya kufika katika anga la Chato, aliona mashimo mengi chini ikiwa ni kiashirio cha uchimbaji wa dhahabu na kusema kuwa Geita ni mkoa tajiri.

Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi

Kauli hiyo ameitoa hii leo Januari 11, 2021, wakati akizungumza na wananchi wa Chato, mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda, Chato, pamoja na mwenyeji wake Rais Dkt. John Magufuli.

"Tumeona huu mkoa ni mkoa tajiri kabisa, tumeona wameanza kuchimba chimba mashimo, wakichimba nadhani kuna dhahabu pale, tumeona mpunga na mashamba nadhani kuna samaki pia, nawapa hongera wananchi wa Geita, kitu kikubwa ni kuchapa kazi, nitaongea na Rais mpaka jioni, tutazungumzia kuhusu maendeleo ya nchi zetu", amesema Rais Nyusi.

Awali akimkaribisha hapa nchini, Rais Magufuli amesema kuwa, "Rafiki yangu nakushukuru sana kwa kuja Chato, Rais wa Msumbiji anafahamu Kiswahili, anayajua maisha ya Watanzania, urafiki kati ya hizi nchi mbili ni wa muda mrefu, sisi ni ndugu na ndani ya serikali tuna makubaliano ya kufanya kazi pamoja".

HABARI ZAIDI

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Wanahabari wasisitizwa kuzingatia maadili ya kazi

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC atangaza msako kuwaondoa walinzi wazee kazini