Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Watoto wa familia moja wapoteza maisha

Tuesday , 26th Jan , 2021

Watoto wawili Ashiri Malimi(4) na Laurencia Malimi (2), wakazi wa kata ya Kaseme mkoani Geita, wamefariki dunia huku wengine saba wakinusurika baada ya kuangukiwa na  ukuta wa nyumba, ulioanguka kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha mkoani humo.

Ukuta uliowaangukia watoto wawili wa familia moja

Taarifa hiyo imetolewa leo Januari 26, 2021, na Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe, na kusema kuwa tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo.

"Hawa watoto wameangukiwa na ukuta wa nyumba yao na kufariki dunia, nawaomba tu wananchi wawe na tahadhari kwa watoto wao na familia katika kipindi hiki cha mvua na kila mtu anajua uimara wa nyumba yake", amesema Kamanda Mwaibambe.

Kwa upande wake Baba wa watoto hao Malimi Kiswetura, amesema kuwa tukio hilo limetokea maira ya saa 2:00 usiku na wakati ukuta unaanguka yeye hakuwepo nyumbani, na kwamba alikimbiliwa na mtoto mwingine na kumuambia kwamba watoto wake wameangukiwa na nyumba.

HABARI ZAIDI

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton