Monday , 12th Jul , 2021

Vera Sidika na mume wake Brown Mauzo wameweka wazi jinsia ya mtoto wao ajaye kwenye party waliyoifanya mwishoni mwa wiki.

Picha ya Vera Sidika

Wawili hao waliandaa hafla maalumu yenye lengo la kuitambulisha jinsia ya mtoto wao ambayo ni ya kike, ambapo kwa kipindi chote cha ujauzito wake hawakuweka wazi hilo.