
Picha ya Mchezaji Karim Benzema
Benzema amekuwa mhimili mkubwa wa mafanikio kwa klabu hiyo yenye maskani yake pale Santiago Bernabéu tangu Cristano Ronaldo aondoke kwenda Juventus.
Mfaransa huyo msimu uliopita wa 2020/21 alimaliza akiwa amefungu magoli 23 ya ligi (LaLiga) na 6 UEFA Champions League