Tuesday , 14th Sep , 2021

Serikali imesema kwamba wafanyabiashara wote wa Bureau de Change, walionyang’anywa vifaa vyao na kikosi kazi kilichotumiwa na serikali wakati wa kuifunga biashara hiyo ambao tayari wamekamilisha taratibu zinazotakiwa waende kuchukua vifaa na nyaraka zao.

Duka la kubadili fedha

Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano serikali kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Benny Mwaipaja.

Soma taarifa hapa chini